Deuteronomy 31:12-13

12 aKusanya watu wote, wanaume, wanawake, watoto na wageni wanaoishi katika miji yenu, ili waweze kusikia na kujifunza kumcha Bwana Mwenyezi Mungu wenu na kufuata kwa bidii maneno yote ya sheria hii. 13 bWatoto wao, ambao hawaijui sheria hii, lazima waisikie na kujifunza kumcha Bwana Mwenyezi Mungu wenu kwa muda mtakaoishi katika nchi mnayovuka Yordani kuimiliki.”

Kuasi Kwa Waisraeli Kunatabiriwa

Copyright information for SwhKC